David Rudisha on new world record - swa

Bingwa mshikilizi wa rekodi ya dunia katika mbio za mita mia nane david rudisha amesema kuwa huenda akajaribu kuweka rekodi nyingine ya dunia baadaye mwaka huu baaada ya mashindano ya mbio za dunia yatakayoandaliwa nchini Korea Kusini. Rudisha alizungumza na KTN leo michezo akiwa iten kabla ya kuanza rasmi msururu wa mbio za dunia.